Home
Upload
Profile
0
Notification
Bookmark
History
Comment
Subscription
Earnings
Settings
Help

Terms
Privacy
Company
Contact
© 2025 Interhead, Inc.
baskadia

Baskadia

​
​

Share - Maisha ya mwanadamu ni sawa na Taa ya kibatali.

​

S²

FreeWriting

Maisha ya mwanadamu ni sawa na Taa ya kibatali.

Maisha ya mwanadamu. Maisha ya mwanadamu ni kama filamu, yamejaa Raha, shida na taabu mbali mbali. Kuna muda maisha hunyooka na pia upo muda ambao maisha ya mwanadamu hupitia mapito magumu yaliyojaa changamoto za hapa na pale. Upo muda mwanadamu huhisi kukata tamaa lakini yote ni kutokana na kupitia kipindi kigumu ambacho hufikia mwisho wa uvumilivu.

Maisha ya mwanadamu ni sawa na Taa ya kibatali.
S
S