SIMBA SC YASHINDA UBINGWA WA MAPINDUZI CUP
Timu ya simba sports club jijini Dar Es Salaam imetwaa ubingwa usiku wa jana katika mechi yake dhidi ya azam sports club na kuweza kufikisha mara nne katika ubingwa wa kombe hilo.
Mechi hiyo ilichezwa huko visiwani zanzibar ikiwahusisha mahasimu hao