Be the first to comment!
This post is waiting for your feedback.Share your thoughts and join the conversation.
Guest
GOLD VOICE 2 ALBUM BY BLEATURE KASIDI
Msanii wa Swahili R&b kutokea hapa nchini Kenya almaarufu Bleature Kasidi badman. Amepiga kimya kirefu Sana kabla hajadondosha wimbo wowote mtandaoni ila kwa sasa kaja na Album yake ya pili kaipea jina Gold voice 2 ambayo kwenye Album ndani kuna nyimbo kumi na nyimbo tatu kawashirikisha wasanii mbalimbali Album imeandaliwa na production ya Gabali music msimamizi wake peoducer Vicky pon dis..