BINTI RAMA NDAMA MCHONGOMA
Hili shairi linaitwa BINTI RAMA NDAMA MCHONGOMA . 1- mama la mama nikimuangalia sioni drama naona karama siskii lawama (amepoa ametuama) 2- najiskia nko salama bila ata Salama Jabiri alikiri we sio mnama akatabiri utakua na mismamo zaidi ya Magu Chuma (Kumaanisha sitakoma) 3- mpaka mbuzi hakugoma namkubali sio mtumishi wa umma hazeeki Kila siku ni ndama mama la mama hafagilii makima (ata wakimfikisha juu ya mlima) 4- Hana misele wala kelele ameniganda na Sina Mchele wa kukwara mchele si nlimuote