
Hili shairi linaitwa BINTI RAMA NDAMA MCHONGOMA.
1- mama la mama
nikimuangalia sioni drama
naona karama
siskii lawama
(amepoa ametuama)
2- najiskia nko salama
bila ata Salama
Jabiri alikiri we sio mnama
akatabiri utakua na mismamo zaidi ya Magu Chuma
(Kumaanisha sitakoma)
3- mpaka mbuzi hakugoma
namkubali sio mtumishi wa umma
hazeeki Kila siku ni ndama
mama la mama hafagilii makima
(ata wakimfikisha juu ya mlima)
4- Hana misele wala kelele
ameniganda na Sina Mchele
wa kukwara mchele
si nlimuotea kwenye msele
(wa mchele)
5- nkamteli skilizia kichele la mama
akaruka Kama ndama
ikamjia roho ya mbuzi akagoma
mbele ya umma
nlicheka alivonambia "Ile siku nlikuona mnama"
"(kumbe mtu mwema)"
6- si nlimuambia yupo salama
akaniuliza "utaivaa?"
"usiwe Kama jabiri" nkakiri bila lawama
na venye anakunywa Fanta orange hana gharama
(mbona mwaka huu watakoma)
7- namkubali hajanionea huruma
akatabiri watakuja wenye karama wa kumuita mama
nlifrahi alivonikonyeza akaniambia "we ni chuma"
"alafu hauna drama"
Nlivo waki sasa. nkajibu
(Mi stakii bana Binti RAMA NDAMA MCHONGOMA)