Nameless2022/05/03 18:42
Follow

Kwa uzuri umejaliwa

Ewe mtoto

Harufu nzuri Kama marashi ya nardo

Ukinigusa nahisi

Maana utamu umeenea,umeenea..


Mwilini kote utamu umeenea

Kama mvua mafuriko

Kila nikuona akili inaloose data

As mlevi super addiction

Follow

Support this user by tipping bitcoin - How to tip bitcoin?

Send bitcoin to this address

Comment (0)

Advertisements