
Maisha ya mwanadamu.
Maisha ya mwanadamu ni kama filamu, yamejaa Raha, shida na taabu mbali mbali. Kuna muda maisha hunyooka na pia upo muda ambao maisha ya mwanadamu hupitia mapito magumu yaliyojaa changamoto za hapa na pale.
Upo muda mwanadamu huhisi kukata tamaa lakini yote ni kutokana na kupitia kipindi kigumu ambacho hufikia mwisho wa uvumilivu.
0 件のコメント
この投稿にコメントしよう!
この投稿にはまだコメントがありません。
ぜひあなたの声を聞かせてください。