MANENO YA WASANII WAWILI WA SWAHILI RNB KUTOKA KENYA NA TANZANIA . BLEATURE KASIDI NA BELLE9


名無し2024/01/15 18:33
フォロー

Msanii wa Swahili Rnb kutoka nchini Kenya almaarufu bleature Kasidi asema belle 9 msanii wa Tanzania mara nyingi humkopi Sana mziki wake pale pindi bleature kasidi anaachilia kibao chake kipya haipiti mwezi moja kama belle 9 hajaachilia Naye kibao chake kinachofanana na kile cha msanii bleature kasidi.....Aliongeza nakusema wimbo wake kwa jina KAMA JANA baada ya kuuweka mitandaoni haikupita kipindi kirefu belle 9 akaja na wimbo wake kwa jina MARAFIKI na nyimbo zote zikafanana beat mpaka idea Alisema atamchukulia msanii huyo kutoka Tanzania belle 9 hatua Kali kama atarudia kukifanya kitendo hicho tena,,, wawili hawa isitoshe wote ni marafiki na ni wasanii wa Swahili Rnb kutoka hapa East Africa... Aliongeza na kusema Kwamba huu mwaka wa 2024 kuna collabo Kati yake na wasanii wawili wa nje ya Africa ila hakutaja majina ya wasanii ila alinukuu "Mtarajie collaboration za rnb kalikali kutoka kwangu na wasanii toka out ya Africa "" mwandishi Ruth katana Gossip storys Kenya

MANENO YA WASANII WAWILI WA SWAHILI RNB KUTOKA KENYA NA TANZANIA . BLEATURE KASIDI NA BELLE9

シェア - MANENO YA WASANII WAWILI WA SWAHILI RNB KUTOKA KENYA NA TANZANIA . BLEATURE KASIDI NA BELLE9

ビットコインで投げ銭してこのユーザーを応援できます - 詳細

フォロー

0 件のコメント

この投稿にコメントしよう!

この投稿にはまだコメントがありません。
ぜひあなたの声を聞かせてください。