*Uongozi wa Thrive Foundation.* Una wakaribisha watu, wote Kwenda Kutembelea Kituo Cha watot

UNAFAHAMU LENGO LETU THRIVE FOUNDATION
*LENGO LA GROUP*
limeanzishwa na Taasisi ya *THRIVE FOUNDATION*- kwa maana ya Msingi wa ustawi kwa kwa watu wenye mahitaji maalimu Mf: watoto yatima, wanawake, watoto walemavu & vijana.
- kuwaweka pamoja watu wote wenye moyo wa kusaidia watoto na vijana wenye uhitaji maalumu kupitia michango.
-Hivyo ni group la wote na lina lenga kuhamasisha watu Kwa ajili ya Kusaidia yatima, walemavu mf.Albinism,
GROUP LETU LA WHATSSAPP KARIBU
Gusa hilo neno hapo juu👆
THRIVE FOUNDATIONさんをフォローして最新の投稿をチェックしよう!
0 件のコメント
この投稿にコメントしよう!
この投稿にはまだコメントがありません。
ぜひあなたの声を聞かせてください。