SIMBA SC MABINGWA MAPINDUZI CUP 2022
Timu ya simba sports club imefanikiwa kutwaa ubingwa wa mapinduzi cup na kuweza kufikia mara nne ubingwa huo wa kombe la mapinduzi.
Ushindi huo umepatikana dhidi ya timu ya azam football club.
Goli pekee lilifungwa na mchezaji Meddie Kagere kwa mkwaju wa penati baada y kuchezewa vibaya na golikipa wa azam Fc.
Ushindi huu wa kombe la mapinduzi ni ishara nzuri kwa kocha franco martine ambaye anakinoa kikosi cha simba kwa sasa.
Simba Sc inarudi jijini Dar Es Salaam ikiwa na kombe huku wakiliwania pia kombe la ligi ya NBC dhidi ya mahisimu wao na watani wao Yanga sports club.
Fragon newsさんをフォローして最新の投稿をチェックしよう!
0 件のコメント
この投稿にコメントしよう!
この投稿にはまだコメントがありません。
ぜひあなたの声を聞かせてください。